HABARI MPYA LEO  

Kali za leo kutoka Facebook!

By Maganga Media - Jun 10, 2012

Bibi anawakaribisha chai wajukuu wake. Hapo familia nzima itashiba na kusaza.
ILI KUPAMBANA NA KUZOROTA KWA UCHUMI WA WAKAZI WA DAR,MABASI YAENDAYO POSTA YATAWEKWA VITI MAALUMU VYENYE KOMPUTER ILI UKIINGIA TU UNA LOG IN NA KUENDELEA NA KAZI,NADHAN TOKA KIMARA MPAKA POSTA UTAKUWA UMEFANYA KAZI ZA KUTOSHA-CHAGUA C.... 2015 MAISHA YAKO YAWE BORA-MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA
Ndega imegoma kuwaka sasa vijana wa kazi wameamua kuanza kuisukuma ili iwake.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII