HABARI MPYA LEO  

MKAPA ATINGA MAHAKAMANI KUTOA USHAIDI

By Maganga Media - May 7, 2012


RAIS Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, yupo kizimbani muda huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumtetea aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu anayekabiliwa na shtaka la uhujumu uchumi akidaiwa kuisababishia serikali hasara kubwa.

Mabere Marando wakili anyemtetea Prof.Mahalu akiwa na mteja wake nje ya mahakama ya kisutu leo


Rais Mstaafu akiingia kwenye viwanja vya mahakama ya kisutu leo kutoa ushahidi kama shahidi wa upande wa mlalamikiwa Prof.Mahalu



Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII