Rais Aapisha Mawaziri Wapya
By Maganga Media - May 7, 2012
Dk. Harrison Mwakyembe akila kiapo kuwa waziri wa Uchukuzi mbele ya Rais Jakaya Kikwete kwenye viwanja vya Iku asubuhi hii.
Shamsi Vuai Nahodha akila kiapo kuwa waziri wa Ulinzi mbele ya Rais Jakaya Kikwete.
Dk Husein Mwinyi akila kiapo kuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii mbele ya Rais Jakaya Kikwete
Mh. George Mkuchika akipongezwa na Rasi mara Baada ya kula kiapo.
Mh. Mathias Chikawe waziri wa Sheria na Katiba.Hawa Ghasia akila kiapo
Profesa Jumanne Maghembe akisaini kiapo mara baada ya kuapa kuwa waziri wa maji na umwagiliajiFollow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII