Dr Ulimboka arejea nchini
By Mhariri - Aug 12, 2012
Mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari Tanzania Dr Steven Ulimboka aliyekuwa nchini Afrika ya kusini kwa ajili ya matibabu baada ya kutekwa, kupigwa na kuumizwa vibaya na watu wasiojulikana amerejea nchini na kulakiwa na madaktari wenzake,wanaharakati wa hai za binadam na wananchi wa kawaida.
DR ULIMBOKA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI MARA BAADA YA KUTUA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU NYERERE.
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII