HABARI MPYA LEO  

Watanzania watolewa Big Brother Afrika!

By Maganga Media - May 14, 2012

Washiriki wote wa Tanzania Hilda na Julio wametolewa.
Julio na mshiriki wa Zimbabwe ambae ametolewa leo.
Mshiriki wa Zimbabwe aliebaki na kuhamishiwa V.I.P, washiriki ambao wako kwenye hatari ya kutoka wiki ijayo ni Liberia na Sierra leone.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII