Vikosi vya EU vyashambulia maharamia Somalia
By Maganga Media - May 16, 2012
Baadhi ya meli zilizotekwa na maharamia pwani ya Somalia |
Maharamia nchini Somalia wamekamata takriban meli 17 na wafanyakazi 300 wa meli hizo katika bahari ya Hindi na wao hutaka kutolewa kwa kikombozi kwanza kabla ya kuachiliwa kwa meli hizo. Hivi karibuni imekamatwa meli ya ugiriki ya mafuta 'Smyrni' ambayo ilitekwa katika bahari ya Arabia wiki jana. Meli hiyo ambayo ina bendera ya Liberia, imebeba tani 135,000 za mafuta ikielekea nchini Somalia.
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII