Spika wa Bunge Tz atembelea kumbukumbu ya bomu la Atomiki la Hiroshima nchini Japan
By Maganga Media - May 16, 2012
Naibu Meya wa Mji wa Hiroshima Mhe. Aramoto akimsindikiza Naibu Mayo wa Mji wa Hiroshima kwenda kuweka Shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa Wananchi wa Japan waliopoteza Maisha katika Mlipuko wa Bomu la Atomiki lililolipuliwa katika mji huo tarehe 6 Agosti, 1945.
SPIKA WA BUNGE AWEKA SHADA LA MAUA KATIKA ENEO LA KUMBUKUMBU LA BOMU LA ATOMIKI LA HIROSHIMA NCHINI JAPAN
Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akioneshwa na Naibu Meya wa Mji wa Hiroshima Mhe. Aramoto sehemu maalum ya kuweka mashada kwa lengo la kuwakumbuka Wananchi wa Japan waliopoteza Maisha katika Mlipuko wa Bomu la Atomiki lililolipuliwa katika mji huo tarehe 6 Agasti, 1945 ambapo inakadiliwa jumla ya watu 66,000 walifariki. Mhe. Spika na Ujumbe wa Wabunge 5 kutoka Tanzania walitembelea Mji huo kwa mwaliko maalum wa Bunge la Japan
Mhe. Spika akikabidhiwa Shada la Maua kwa lengo la kwenda kuweka shemu hiyo
Naibu Meya wa Mji wa Hiroshima Mhe. Aramoto akimsindikiza Naibu Mayo wa Mji wa Hiroshima kwenda kuweka Shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa Wananchi wa Japan waliopoteza Maisha katika Mlipuko wa Bomu la Atomiki lililolipuliwa katika mji huo tarehe 6 Agasti, 1945
Wakitoa Heshima zao kabla ya kuweka Shada
Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akiweka shada la Maua katika Mnara wa Kumbukumbu ya wananchi wa Japan waliopoteza Maisha katika Mlipuko wa Bomu la Atomiki lililolipuliwa katika mji huo tarehe 6 Agasti, 1945 ambapo inakadiliwa jumla ya watu 66,000 walifariki. Mhe. Spika na Ujumbe wa Wabunge 5 kutoka Tanzania walitembelea Mji huo kwa mwaliko maalum wa Bunge la Japan
Naibu Meya wa Mji wa Hiroshima Mhe. Aramoto akimuonesha Mhe. Spika na wabunge aliongozana nao sehemu mbalimbali katika Mnara huo zenye majina ya wajapani waliofaraiki katika Mlipuko wa Bomu la Atomiki lililolipuliwa katika mji huo tarehe 6 Agasti, 1945 ambapo inakadiliwa jumla ya watu 66,000 walifariki. Mhe. Spika na Ujumbe wa Wabunge 5 kutoka Tanzania walitembelea Mji huo kwa mwaliko maalum wa Bunge la Japan
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII