MJASILIA MALI PETER ANDREW AKIONESHA VITU VYAKE KATIKA MAONESHO YA ALAT
By Maganga Media - May 6, 2012
Mstahiki meya wa Ilala Jerry Silaa akipata maelezo na vipeperushi kutoka kwa Bw Peter Andrew wakati wa maonesho ya ALAT jijini Dar es salaam
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali akiangalia maonesho katika banda la
Dkt Mohamed Ghalib Bilali akiagana na Bw Peter Andrew ambaye ni mmoja wa wajasiriamali wanaokuja juu kwa kasi nchini
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII