BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI
By Maganga Media - May 4, 2012
undefined
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanahabari wakati wa kutangaza Baraza la Mawaziri,Ikulu Jijini Dar es Salaam Jioni hii. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais,Dkt Mohamed Gharib Bilali na Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda muda mfupi baada ya kutangaza Baraza la Mawaziri leo. Wanahabari [...] Read full story »
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII