HABARI MPYA LEO  

CBE MISS CAREER 2012

By Maganga Media - Apr 9, 2012

Warembo wakiwa katika picha ya pamoja



Mmoja wa Majaji Doto Villeti (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati mchakato wa kuchagua washiriki wa shindano la CBE Miss Career 2012 litakalofanyika Ijumaa Tarehe 13 mwezi huu katika ukumbi wa Maisha Club ambapo kiingilio kwa kila kichwa ni Tsh 10,000/. Kushoto ni Jaji Aloycia Innocent na Kulia Mdhamini wa Shindano hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Cultural Sharing Solution Bw. Peter Kaale.
Baadhi ya walimbwendwe watakaoshiriki shindano la CBE Miss Career 2012 wakisikiliza Vigezo na Masharti ya kushiriki shindano hilo.
Pichani Juu na Chini ni washiriki wa shindano la CBE Miss Career 2012 wakiwa katika picha ya pamoja.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII