HABARI MPYA LEO  

Video mpya ya AY!

By Emmanuel Maganga - Jun 16, 2012

Ile video ambayo Ay alitangaza kupitia AMPLIFAYA ya CLOUDS FM kwamba anakwenda kuifanya South Africa kwa milioni 30 za kibongo imetoka, imefanywa na kampuni ya Godfather iliyohusika kutengeneza video za wakali wengine kama J Martins, P Square na Mr Flavour wa Nigeria.

Hii ni time yako kuona jinsi Ay na Marco Chali walivyouza humo ndani huku kampan ya warembo wenye mvuto ikiwepo pia, Ay ameniruhusu uione BURE kabisa… play hapo chini kisha utupie comment yako atapita kusoma maoni yote.


Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII