HABARI MPYA LEO  

Mkutano wa haki za binadamu London

By Emmanuel Maganga - Jun 18, 2012
Mshiriki kutoka Tanzania Alistidia Rugaitika akiwa katika mkutano wa European Leadership and Human rights:Protection of the Unempowered and the Dispossessed uliomalizika jioni hii jijini London katika jumba la Bunge la Uingereza.
Baadhi ya washiriki wengine walioshiriki kwenye mkutano huo,kutoka kushoto mshiriki kutoka Cameroon ambaye pia ni mwandishi wa habari,Tosamawe kutoka Tanzania,Mr Amone toka Uganda na mshiriki kutoka Rwanda

Mshiriki kutoka Tanzania katikati akiwa na mshiriki kutoka Uganda kulia Mr Amone.
Na msemaji kwenye huo mkutano Mr Keith Best ambaye ni Chief Executive,Freedom From Torture UK

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII