HABARI MPYA LEO  

Tanzania yasaini mkataba na Benki ya Dunia TASAF 3

By Emmanuel Maganga - Jun 16, 2012Katibu mkuu wizara ya fedha, Ramadhani Kijah kushoto na Mwakilishi wa benki ya dunia Pilppe Dongier wakisaini mkataba wa Mpango wa TASAF 3 unaolenga kuwasaidia watu wanaoishi maisha ya matumizi ya chini ya dola moja kwa siku hasa nchini Tanzania ili kuwapunguzia ukali wa maisha. www.habarimpasuko.blogspot.comKatibu mkuu wizara ya fedha, Ramadhani Kijah kushoto na Mwakilishi wa Benki ya dunia Pilppe Dongier wakikabidhiana mikataba baada ya kumaliza kusaini

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII