HABARI MPYA LEO  

Kesi ya mauaji ya marehemu Steven Kanumba inayomkabili movie star wa Tanzania Elizabeth Michael (Lulu) imeendelea kutajwa katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam huku suala la umri wa mshitakiwa huyo likiendelea kuwekwa kiporo.

Mbele ya hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu AUGUSTINA MMBANDO, Wakili wa Serikali KENNETH SEKWAO amesema upelelezi bado haujakamilika na kwa sasa ipo katika hatua ya kutajwa.

Mapema baada ya LULU kufunguliwa mashitaka ya mauaji ya msanii mwenzake STEVEN KANUMBA April mwaka huu, mawakili wanaomtetea waliwasilisha hoja ya kupinga umri wa mshitakiwa huyo na kutaka achukuliwe kama mkosaji mtoto kutokana na umri wake kuwa chini ya miaka 18 hali iliyolazimu suala hilo kupelekwa Mahakama Kuu ya Tanzania iliyoamua kulirejesha jambo hilo kwenye mahakama ya Kisutu.

Pamoja na kurejeshwa kwa suala hilo katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu kumekuwa na ukimya wa muda sasa, kesi ya LULU imeahirishwa mpaka Disemba 17 mwaka huu ambapo itakwenda kwaajili ya kutajwa.
Hii ni matokeo ya kudumisha mila na desturi za kurithiana.

Mama Condorada Ngonyani mwenye umri wa miaka 70 anaishi kinyumba kama mke na mume na mwanaye wa tatu wa kumzaa mwenyewe akidai kuwa mara baada ya kufariki mume wake, Mzee Mapunda alimchagua mtoto wake amrithi baba yake.

Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wameiomba Serikali kupitia Wizara ya Maendelo ya Jamii, Jinsia na wtoto kuangalia kati sheria inayomruhusu Mtoto na Mama Mzazi kuweza kuishi kindoa


Umati wa watu wapatao 400 ulifurika kwa Mganga wa Jadi Flora Ndembo Namabengo wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma wakiiomba Serikali ichukue Mkondo wa Sheria dhidi ya condorada ngonyani na joseph Mapunda.


Joseph Mapunda mwenye umuri wa miaka 40 amesema ameweza kuishi kindoa na Mama yake Mzazi Condorada Ngonyani 70 baada ya yeye kukubaliana wenyewe yeye na mama yake mzazi kuishi kindoa kama mume na mke.

Alipo ulizwa Mama alikiri kuwa kweli wameishi kindoa kwa miaka 10 na anampenda Mume wake ambaye ni Mtoto wake Joseph Mapunda.
Mama Condorada Ngonyani mwenye umuri wa miaka 70 ambaye ana ishi kinyumba na mtoto wake watatu wa kumzaa mwenyewe kama Mke na Mume hapo anaonekana akisononeka kwa nini jamii iingilie ndoa yake
Kwa mkoa wa Ruvuma hii ni mara ya kwanza mtoto wa kiume Joseph Mapunda pichani hapo juu kutembea na mama yake mzazi. 
Wana Ruvuma wanauliza tume jikwaa wapi watanzani hadi kupoteza mila desturi na maadili ya mtanzania pia kukiuka sheria za dini
Joseph Mapunda ana sema upendo ni upendo amempenda mama na anaishi kindoa wamependana nyie watu mnataka nini kwetu ?
Mama Condorada Ngonyani anasema mara baada ya kufariki mume wake Mzee Mapunda alimchagua mtoto wake amrithi baba yake
2.1 Mauzo ya Nje
Mheshimiwa Spika, Wizara ya Fedha kupitia Benki Kuu ya Tanzania inapaswa kuhakikisha kuwa Akiba ya Fedha za Kigeni nchini inakuwa imara muda wote. Biashara ya nje ndio inaingiza Fedha za kigeni nchini kwa hiyo ni eneo la kutazama kwa makini na kuchukua hatua mwafaka. Taarifa ya mwenendo wa uchumi kwa mwezi Julai iliyotolewa na Benki kuu inaonyesha kuwa jumla ya mauzo ya Tanzania  nje yalikuwa dola za kimarekani 7,990.0 milioni ukilinganisha na kiasi cha dola 7,050.7 milioni kwa kipindi kama hicho kwa mwaka 2011 na hali hii ilisababishwa kwa kiasi kikubwa kutokana na kuongezeka kwa bei ya mauzo ya dhahabu. Hata hivyo Manunuzi yetu kutoka nje yamefikia dola za Kimarekani 12,959 milioni.

Mheshimiwa Spika, taarifa hiyo inaonyesha kuwa mauzo ya dhahabu Nje kwa mwaka 2011 yalikuwa kiasi cha dola 2,330.7 milioni sawa na aslimia 56.7% ya mauzo yote nje, wakati mauzo ya nje kutokana na bidhaa zilizozalishwa viwandani yalikuwa na jumla ya dola 922.0 milioni sawa na asilimia 22.4% ya mauzo yote ya nje. Aidha mauzo ya mazao mbalimbali kama Pamba, Katani, Korosho, Chai, Kahawa na mengineyo yalikuwa na thamani ya dola 761.1 milioni kwa kipindi hicho cha mwaka 2012.

Mheshimiwa Spika, taarifa hiyo imeendelea kuonyesha kuwa tuliagiza bidhaa kutoka nje zenye thamani ya dola za Kimarekani milioni 12,958.7.  Katika manunuzi hayo tuliyofanya mafuta peke yake yalikuwa na thamani ya dola za Kimarekani milioni 3,586.1  ambalo ni ongezeko la asilimia 60.08% ukilinganisha na kipindi kama hicho kwa mwaka 2011.

Mheshimiwa Spika, takwimu hizi zinaonyesha kwamba fedha zote za kigeni zilizotokana na mauzo ya dhahabu, bidhaa za viwandani na Korosho zilitumika kuagiza mafuta pekee yake! Hali hii ni mbaya sana kwa uchumi wa Taifa letu na juhudi zote za kuongeza mauzo nje zinaliwa na uagizaji wa Mafuta ambao umepanda sana katika siku za hivi karibuni.

Kambi Rasmi ya Upinzani inatambua kuwa kuanzia mwaka jana Serikali imekuwa ikitekeleza mpango wa Umeme wa dharura ambao umepelekea matumizi makubwa ya Mafuta. Hata hivyo ieleweke kuwa Mpango mzima wa Manunuzi ya Mafuta ya kuendesha mitambo ya Umeme inaligharimu Taifa Fedha nyingi sana. Takwimu zinaonyesha kuwa Serikali inapaswa kutumia zaidi ya shilingi 42 bilioni kila Mwezi kuendesha mitambo ya dharura ya Umeme. Manunuzi yenyewe ya Mafuta yamejaa mazonge ya ufisadi uliokithiri. Licha ya kutaka Spika aunde timu ya kuchunguza ufisadi katika manunuzi ya Mafuta na licha ya Kamati ya Bunge kutaka Uchunguzi wa kibunge kufanyika katika manunuzi haya bado hakuna hatua inayochukuliwa. Kambi Rasmi ya Upinzani inaitaka Mamlaka ya Manunuzi ya Umma PPRA kufanya uchunguzi wa kina kuhusu manunuzi ya mafuta kuzalisha Umeme ambayo yanachoma bilioni 42 za Serikali kila Mwezi. PPRA hapaswi kufumbia macho manunuzi yanayotafuna shilingi 1.4 bilioni kila siku na yanayoongeza manunuzi ya nchi kutoka nje (imports) na hivyo kupoteza fedha za kigeni hovyo.

Mheshimiwa Spika, Wizara ya Fedha ambayo ndio wizara mama ya PPRA kupitia Fungu 50, na ndio Wizara yenye kusimamia uchumi wa nchi kwa ujumla ituletee Bungeni Taarifa ya Uchunguzi utakaofanywa na PPRA kuhusu manunuzi shilingi 1.4 bilioni kila siku ya mafuta kuendesha mitambo ya kuzalisha Umeme.

CHANZO: http://zittokabwe.wordpress.com/2012/08/15/highlights-za-hotuba-mafuta-yala-dhahabu-yote-korosho-na-viwanda-zitto/

Mishahara hewa nchini
Mheshimiwa Spika, katika hotuba ya Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani kuhusu makadirio ya mapato na matumizi katika Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma kwa mwaka wa fedha 2012/2013, tulitaja kiasi cha shilingi bilioni 9 ambazo zililipwa kama mishahara kwa watumishi hewa kama ilivyoripotiwa na magazeti ya ‘The Daily News’ na ‘The Guardian’ ya Machi 23, 2011.

Mheshimiwa Spika, ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya tarehe 31 Machi, 2012 inaonesha kwamba kwa mwaka wa fedha 2010/2011 jumla ya shilingi 142,715,827.99 zililipwa kama mishahara kwa wastaafu, watumishi walioacha au kufukuzwa kazi na watumishi wengine ambao hawakustahili. Aidha, ripoti hiyo imeonesha kiasi cha shilingi 1,842,607,565.29 zilizolipwa kama mishahara hewa kwa mwaka wa fedha 2009/2010.

Mheshimiwa Spika, kwa mujibu wa taarifa ya Waziri wa Fedha kwa kamati ya kudumu ya Bunge ya fedha na uchumi ya tarehe 7 Agosti, 2012 ni kwamba uhakiki wa watumishi  uliofanyika mwezi Januari, 2012 kwenye Halimashauri 133 na kwenye taasisi na wakala za Serikali 154 ulibaini majina 9,949 ya watumishi wasiostahili kuwemo kwenye orodha ya mishahara. Idadi hii ya watumishi hewa ni sawasawa na takribani idadi ya watumishi walioajiriwa katika sekta nzima ya madini kwenye migodi ya dhahabu hapa nchini. Watumishi hewa wanaokaribia 10,000 ni wengi mno na inaonyesha dhahiri namna Serikali isivyo makini katika suala hili ambalo linasababisha upotevu mkubwa wa Fedha za Umma.

Mheshimiwa Spika, Waziri wa Fedha alikiri mbele ya Kamati ya Fedha na Uchumi kwamba mwezi Februari Serikali ililipa shilingi bilioni 5.1 kama mishahara hewa. Hii maana yake ni kwamba Serikali hutumia zaidi ya shilingi bilioni 70 kila mwaka kwa watumishi hewa wa Serikali.

Mheshimiwa Spika, tunataka fedha hizi wanazolipwa watumishi hewa zitumike kuwalipa walimu na madaktari madai yao kwani ni nyingi na zinatosha sana. Siku zote sababu za Serikali kutotimiza matakwa ya wafanyakazi kwenye sekta ya Afya na Elimu ni kwamba Serikali haina Fedha. Lakini hapa tunashuhudia Shilingi bilioni 70 kila mwaka zikiteketea kulipa watumishi hewa ambao hawapo, hawafanyi kazi na hivyo kufaidisha mtandao wa kifisadi ambao kwa vyovyote vile unaanzia Wizara ya Fedha na Wizara ya Utumishi. Serikali inakosa vipi fedha za kulipa madai ya Walimu na inapata za kulipa watumishi hewa? Serikali inakosa vipi fedha za kulipa Madaktari na Manesi lakini inapata shilingi bilioni 70 kila mwaka kulipa watumishi hewa?

Mheshimiwa Spika, Kambi Rasmi ya Upinzani inataka mradi huu wa watumishi hewa wenye mauzo (turnover) ya shilingi 70 bilioni kwa mwaka uvunjwevunjwe ili kupata fedha za kulipa Walimu na Madaktari. Waziri wa Fedha asambaratishe mtandao huu mwovu ambao sasa umeota mizizi kwenye Taasisi za Serikali. Vile vile Waziri agawe kwa Wabunge taarifa ya uhakiki wa wafanyakazi wa Serikali na pia hatua ambazo Serikali imechukua dhidi ya vinara wa mtandao wa watumishi hewa Serikalini.
SOURCE: http://zittokabwe.wordpress.com/

Baadhi ya watu wamekuwa wakilalamika juu ya tags za picha wasizozitaka kutoka kwa watu mbalimbali. Huna haja ya kugombana na rafiki zako au watu wote ukiwalaumu juu ya hili. Lipo ndani ya uweza wako mwenyewe. Ndani ya muda mfupi utamaliza tatizo hili kabisa. Ni kurekebisha settings za akaunti yako kwenye privacy settings na sharing. Kwa taarifa yako kama ulikuwa haujui unaweza ukachagua hata watu gani wakutumie meseji. Kuhusu tags, chagua kuwa watu wakutag kama watataka ila picha isionekane kwenye wall yako mpaka utakapo-approve wewe, unaoptions 2, kukubali au kukataa na picha haitaonekana kabisa.

Kama nilivyokuahidi, maelekezo ni kama ifuatavyo:

Kwanza ukiwa umelog in kwenye akaunti yako ya facebook nenda upande wa kulia kabisa kuna sehemu iliyoandikwa HOME ikifatiwa na kamshale kanakoshuka chini ambacho wengi wetu hukitumia tunapotaka menu ya kulog out facebook. Ukibonyeza huo mshale sio HOME itakuja option yenye headings kama unazoziona hapa chini kwenye mchoro: Chagua private settings
NB: Kama umelog in kwa kutumia simu yako ya mkononi Privacy settings ipo chini kabisa upande wa kulia. Click kisha twende sambamba na maelekezo haya.
Ikiisha funguka utaona option nyingi kama zinavyoonekana kwenye picha hapa chini, kwa kuwa lengo letu kwa sasa ni kushughulikia TIMELINE AND TAGS. Upande wa kulia wa heading hiyo Kuna Maandishi 
"Edit Setting" click hapo then twende wote hatua ya tatu. Kama tumekuacha sehemu yeyote rudi nyuma usome maelekezo kisha uendelee kuungana na mtaalamu wetu kwa udhamini wa Maganga Media.
 
 Haya ndio utakayoyaona.


    • To remove your tag from a post, simply click the "remove tag" button under the post.
  • Choose who can see posts that you're tagged in. Choose from the options in the drop down menu, or create your own option by clicking "Custom."

  • Decide whether or not to enable tag suggestions. When your friend uploads a photo that looks like you and this feature is enabled, Facebook will suggest that they tag you. The tag will only appear if your friend approves it.

  • Enable or disable tagging from the "places" app. Leaving this option enabled will allow your friends to tag you with them when they check in to places. You will always be notified when friends check you in with them, and you have the ability to remove the check-in from your profile.

  • Turn on Tag Review. Turning on tag review will allow you to review any tags your friends add to your profile before the tags appear.








Kama una swali tuonane kwenye comments boksi hapo chini

Mtandao wa kijamii kama ilivyo kawaida ya watu wakutanapo kwa pamoja wengi hapakosi mengi, ndivyo ambavyo watu wasio na nia njema wamekuwa wakijipenyeza miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii ikiwemo Facebook.

Mtu anaweza kujiuliza swali iweje iwe rahisi kiasi hiki kusumbuliwa au kukutwa na uharifu wa mtandaoni kupitia akaunti yako ya facebook ambayo umeifungua kwa nia njema kabisa. Kwa faida yako unashauriwa kufuata maelekezo yaliyopendekezwa kama njia moja wapo ya kujiweka salama. Maelezo haya yatakuongoza kujua namna ya kuzigundua akaunti za uongo na kujiepusha na watu wa jinsi hiyo. Pamoja na hayo bado unaweza ukakutana na akaunti ambayo ni halisi na mtumiaji wake anafahamika, lakini sio kigezo cha kujiaminisha asilimia 100 juu ya kile unachokifanya ukiwa mtandaoni.

Kama ushauri tu, wakati wewe unafurahia huduma zipatikanazo katika mitandao ya kijamii kuna watu usiku na mchana hawalali wanawaza jinsi gani waweze kunufaika na mtandao huo huo ambao wewe unautumia. Kama unakumbuka vizuri kuna tukio lilifedhehesha watu humu facebook mwezi wa Mei na kufanya baadhi yetu akaunti zao zipotee kabisa.

Tukio lilihusu picha ya video ya Rihana, ilikuja kama link fulani, cha kushangaza kila aliyeigusa tu alionekana kuwa ndiye aliyepost picha hiyo na kutapakaa kwa marafiki zake ikiwashawishi nao kuangalia. Katika hali ya kawaida unapoona post imekuja kwa jina la rafiki yako wa karibu sana lazima tu utaiangalia. Nilipatwa na mkasa huo lakini kwa kuwa binafsi najiita BA Facebook, niliweza kukabiliana nayo.

Madhara ya akaunti zisizo halisi (Fake Facebook accounts)
Kama unajiuliza nini kitakupata kwa kuwa na rafiki wa facebook asiye na akaunti halisi, kuna baadhi ya vitu vinaweza kukusababishia hasara kwa njia moja ama nyingine. Kwa mfano unaweza kuamini kuwa mtu anakujali na kukuthamini sana kumbe nia yake ni kucheza na akili yako ili umuamini na hatimaye kupata pesa au vitu vingine kutoka kwako kama taarifa za siri na kuzitumia kuwaibia rafiki zako wa karibu.

Kuhusu usalama wa akaunti yako:
Baadhi ya watu wamekuwa wakilalamika juu ya tags za picha wasizozitaka kutoka kwa watu mbalimbali. Huna haja ya kugombana na rafiki zako au watu wote ukiwalaumu juu ya hili. Lipo ndani ya uweza wako mwenyewe. Ndani ya muda mfupi utamaliza tatizo hili kabisa. Ni kurekebisha settings za akaunti yako kwenye privacy settings na sharing. Kwa taarifa yako kama ulikuwa haujui unaweza ukachagua hata watu gani wakutumie meseji. Kuhusu tags, chagua kuwa watu wakutag kama watataka ila picha isionekane kwenye wall yako mpaka utakapo-approve wewe, unaoptions 2, kukubali au kukataa na picha haitaonekana kabisa.


MAELEKEZO NA MICHORO YA KUREKEBISHA TAARIFA ZA USALAMA KWA AJILI YA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK YATAKUIJIA HIVI PUNDE. USIKAE MBALI NA MAGANGA MEDIA. 


KAMA UNA SWALI LOLOTE LIANDIKE KWENYE SEHEMU YA MAONI CHINI YA HABARI HII ILI YAWEZE KUJIBIWA MOJA KWA MOJA AU KATIKA MAKALA ZINGINE ZITAKAZOFUATA. MAONI YAKO NI MSINGI WA MABORESHO YA HUDUMA ZETU.

CHINI YA SEHEMU YA MAONI PIA KUNA LIST YA HABARI ZINGINE UNAWEZA VUTIWA NAZO AU CLICK HOME HAPO JUU KABISA KUONA HABARI ZOTE ZILIZOMO.



HAYA TENA JINSI YA KUONDOA TAGS IMEKAMILIKA.
CLICK HERE TO READ IT.
USIDHANIE TATIZO LAKO NI KUBWA KULIKO LA MWENZAKO….

Muda mfupi tu baada ya kumaliza Chuo nikiwa mitaa ya home Survey nikipata Juice katika Bar moja maarufu sana hapa mtaani kwetu inayoitwa Brajec alitokea jamaa mmjoa raia wa kigeni (Mreno)akaa meza moja na mimi na kunisalimia akiniambia yeye anaitwa Johnson nami nikamwambia naitwa Greyson basi tuka shake hands kisha akaagiza kinywaji aina ya wisky G,Grouw akaletewa pamoja na pakti moja ya sigara aina ya embassy,wakati akiendelea kunywa funda la pili na la tatu akafungua maongezi(lakini kwa kiingereza)akiniuliza kama kuna jambo ambalo nilishalifanya au kufanyiwa na mtu na likaitesa nafsi yangu… ?Mimi nikawa njia panda kidogo kisha nikamuuliza katika Nyanja ipi? Familly,jamii,kitaifa au Personal?akanijibu vyovyote kati ya hivyo ulivyovitaja…

Nikamwambia nimemaliza chuo juzi(I mean this July) sina kazi ndio kwanza natafta kazi hapa mjini lakini kitu cha kushangaza Wazazi wameishaniandalia mchumba ambaye wanataka nije kumuoa hapo baadae eti kwa kigezo kwamba ni family friend wao na wana uhusiano mzuri sana na wazazi wa huyo binti…zaidi ya hayo ni kwamba wazazi wa huyo binti wanatoka kabila moja na wazazi wangu na tena kijiji kimoja…Mimi binafsi niliwakatalia coz siwezi nikaoa mtu ambaye simjui na tena sijawahi hata kuongea nae kuhusu mambo yoyote ya kimahusiano kwani yeye binti amemaliza chuo London(UK) na mara chache sana nimewahi kumuona ktk sherehe za kifamilia,Hivyo nikawakatalia wazazi tena wazi wazi bila kificho, sasa nimezusha mtafaruku katika familia yangu hivi sasa kutokana na hilo tatizo…coz sipendi nimdanganye mtoto wa watu kwani hata nikimuoa hata kuwa moyoni mwangu sasa yanini nijisumbue kupenda pasipo pendwa…?hadi kufikia hapo nikaona Mzungu jasho jembamba linamtoka then akasema bora yako wewe ndugu yangu….akasema kwa upande wake yeye ni kwamba…

Kuhusu masuala ya ndoa yeye alipata bahati ya kumuoa Mama mmoja ambaye alikuwa ni mjane(Widow)huko kwako walitokea kupendana sana nawakaishi kwa kipindi cha miaka 3 ndani ya mapenzi yao kabla ya kukutana na huyo mama tayari alikuwa na watoto 3 wa kike2 na 1 wakiume,”baada ya kuishi kwa kipindi kirefu tukaamua kuoana mimi na Yule mama lakini kitu cha kushangaza Baba yangu Mzazi akawa na uhusiano na binti mkubwa wa huyu mke wangu na ikafikia hatua wakafunga ndoa Baba na Grace(ambaye ni mwanangu wa kufikia sasa)hivyo baba yangu akawa Mkwe wangu(I mean my son in law)na mimi nikawa Baba Mkwe wake(I mean my father’s father in law ).

Hivyo basi kisheria hivi sasa binti yangu(Grace)ni Mama yangu na Mke wangu(Mama Grace)ni Bibi yangu tatizo likaja nilipozaa mtoto wa kiume na mama Grace anaitwa George that means now my son is my father’s brother(shemeji) na kwa upande mwingine ni Mjomba wangu,hali ikawa mbaya zaidi Baba alipopata mtoto wa kiume ambaye sasa ni mjukuu wangu na kwa upande mwingine ni kaka yangu.

But ultimately I have became my own grandfather and I’m my own grandson….And you say you have a Familly Problems than me?” hadi kufikia hapo ikawa ni zamu yangu kutokwa na kijasho chembamba usoni…..Sikuwa na jibu naomba kuwasilisha wadau…….
Written by
Greyson Gramssein