Kuzuia tags kwenye akaunti yako ya facebook
By Mhariri - Aug 5, 2012
Baadhi ya watu wamekuwa wakilalamika juu ya tags za picha wasizozitaka kutoka kwa watu mbalimbali. Huna haja ya kugombana na rafiki zako au watu wote ukiwalaumu juu ya hili. Lipo ndani ya uweza wako mwenyewe. Ndani ya muda mfupi utamaliza tatizo hili kabisa. Ni kurekebisha settings za akaunti yako kwenye privacy settings na sharing. Kwa taarifa yako kama ulikuwa haujui unaweza ukachagua hata watu gani wakutumie meseji. Kuhusu tags, chagua kuwa watu wakutag kama watataka ila picha isionekane kwenye wall yako mpaka utakapo-approve wewe, unaoptions 2, kukubali au kukataa na picha haitaonekana kabisa.
Kama nilivyokuahidi, maelekezo ni kama ifuatavyo:
Kwanza ukiwa umelog in kwenye akaunti yako ya facebook nenda upande wa kulia kabisa kuna sehemu iliyoandikwa HOME ikifatiwa na kamshale kanakoshuka chini ambacho wengi wetu hukitumia tunapotaka menu ya kulog out facebook. Ukibonyeza huo mshale sio HOME itakuja option yenye headings kama unazoziona hapa chini kwenye mchoro: Chagua private settings
NB: Kama umelog in kwa kutumia simu yako ya mkononi Privacy settings ipo chini kabisa upande wa kulia. Click kisha twende sambamba na maelekezo haya.
NB: Kama umelog in kwa kutumia simu yako ya mkononi Privacy settings ipo chini kabisa upande wa kulia. Click kisha twende sambamba na maelekezo haya.
Ikiisha funguka utaona option nyingi kama zinavyoonekana kwenye picha hapa chini, kwa kuwa lengo letu kwa sasa ni kushughulikia TIMELINE AND TAGS. Upande wa kulia wa heading hiyo Kuna Maandishi
"Edit Setting" click hapo then twende wote hatua ya tatu. Kama tumekuacha sehemu yeyote rudi nyuma usome maelekezo kisha uendelee kuungana na mtaalamu wetu kwa udhamini wa Maganga Media.
Haya ndio utakayoyaona.
- Who can post on your timeline?
- Who can see what others post on your timeline?Custom
- Review posts friends tag you in before they appear on your timelineOn ›
- Who can see posts you've been tagged in on your timeline?Custom
- Review tags friends add to your own posts on FacebookOn ›
- Who sees tag suggestions when photos that look like you are uploaded?
- To remove your tag from a post, simply click the "remove tag" button under the post.
- Choose who can see posts that you're tagged in. Choose from the options in the drop down menu, or create your own option by clicking "Custom."
- Decide whether or not to enable tag suggestions. When your friend uploads a photo that looks like you and this feature is enabled, Facebook will suggest that they tag you. The tag will only appear if your friend approves it.
- Enable or disable tagging from the "places" app. Leaving this option enabled will allow your friends to tag you with them when they check in to places. You will always be notified when friends check you in with them, and you have the ability to remove the check-in from your profile.
- Turn on Tag Review. Turning on tag review will allow you to review any tags your friends add to your profile before the tags appear.
Kama una swali tuonane kwenye comments boksi hapo chini
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII