Yanga Bingwa Kagame!
By Unknown - Jul 28, 2012
Yanga yaichapa Azam 2-0 na kujitwalia ubingwa wa Kombe la Kagame huku Hamisi Kiiza akiwa ndio mfungaji wa goli la kwanza la Yanga ndani ya dakika ya 43 kipindi cha 1.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII