Tazama hii kutoka Kariakoo!
By Unknown - Jul 11, 2012
Check msongamano wa watu, mbaya zaidi hadi sehemu ambayo ni njia za kukatisha wenzako ndio wameweka biashara!!! Kazi kwako usipokuwa makini utaibiwa!

MTAA WA KONGO HUO!


PICHA ZOTE NA MWANDISHI WETU, JIJINI DSM
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII