HABARI MPYA LEO  

Stars yailaza Gambia 2-1

By Maganga Media - Jun 11, 2012




Kikosi cha Timu ya Taifa ya Gambia



Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania.



Mchezaji wa timu ya taifa Taifa Stars, Mrisho Ngasa akichuana vikali na mchezaji wa timu ya Gambia The Scorpions wakati timu hizo zikichuana katika mchezo wa kuwania kufuzu kushiriki fainali za kombe la Dunia zitakazofanyika nchini Brazil, mchezo huo unafanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, hivi sasa mpira umekwisha Taifa Stars ikiifunga Gambia magoli 2-1 na kujipatia pointi zake tatu za mwanzo, Magoli yamefungwa na wachezaji Shomari Kapombe Waziri Salum aliyefunga kwa njia ya penati baada ya mabeki wa timu ya Gambia kuunawa mpira katika eneo la hatari.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII