Simba Yatolewa Mashindanoni!
By Maganga Media - May 14, 2012
Katika kipindi cha dakika 90 Simba imefungwa magoli matatu wakati yenyewe haijapata kitu, mchezo huo ulianza saa mbili kamili kwa majira ya Tanzania.
Baada ya kuamriwa kupigwa penati kwa kanuni za mashindano hayo.
Baada ya kuamriwa kupigwa penati kwa kanuni za mashindano hayo.
Timu ya Al Ahly Shandy imeshinda penati 9-8 dhindi timu ya Simba na kuisukumiza nje ya mashindano.
Katika mchezo wa kwanza uliofanyika wiki mbili zilizopita jijini Dar es salaam Simba ilishinda magoli 3-0 na kujiweka katika nafasi nzuri ili kusonga mbele katika michuano hiyo ya Kombe la Shirikisho inayoandaliwa na Shirikisho la vyama vya mpira wa miguu Afrka (CAF) vizuri.
Hata hivyo imeshindwa kulinda ushindi wake mnono ilioupata jijini Dar es salaam na kukubali kipigo hicho kilichowasukumiza nje ya mashindano hayo.
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII