HABARI MPYA LEO  

Simba kumuenzi Mafisango

By Maganga Media - May 19, 2012

Klabu ya Soka ya Simba imesema itamuenzi mchezaji wao Mafisango kwa kutoitumia JEZI namba 30 iliyokuwa ikivaliwa na aliyekuwa Kiungo mkabaji wa timu ya Simba Sports Club, Patrick Mutesa Mafisango, aliyefariki alfajiri ya juzi maeneo ya Keko kwa ajali ya gari na kuagwa jana kwa ajili ya safari ya kuelekea Congo DRS atakapohifadhiwa kwenye makazi yake ya kudumu. Imeelezwa kuwa haitatumika tena katika kikosi cha timu hiyo ikiwa ni sehemu ya kumuenzi kwa heshima


 

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII