Rais Kikwete ziarani Addis Ababa
By Maganga Media - May 9, 2012
Anahudhuria mkutano wa jukwaa la uchumi kanda ya afrika (WEF)
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana viongozi na maafisa mbalimbali alipowasili hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo April 9, 2012 tayari kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi
kutoka sehemu mbalimbali duniani.
kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Rais Jakaya Kikwete katika maungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt Rajiv Shah katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo April 9, 2012 ambako kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.Picha na IKULU
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII