HABARI MPYA LEO  

Mchoro wa kumkejeli Zuma waharibiwa

By Maganga Media - May 23, 2012

Mchoro unaoonyesha uume wa rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ukiwa nje, umeharibiwa. Mchoro huo uliozua utata nchini Afrika Kusini uliwekwa katika jumba moja la maonyesho kwa umma.
 
Imeripotiwa kuwa washukiwa wawili wamekamatwa.Hapo awali, chama tawala kiliitaka mahakama kuu kulazimisha wanaosimamia maonyesho hayo, kuondoa mchoro huo. ANC kilisema mchoro wenyewe ni kumvunjia heshima Rais na pia unakera. Hata hivyo wenye maonyesho wanasema kuwa kazi yao inalindwa na katiba ambayo inaruhusu watu haki ya kujielezea.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII