HABARI MPYA LEO  

‘Jiunge na Supa 5’ ya Airtel yafunika Dodoma

By Maganga Media - May 28, 2012

Wasanii wa kikundi cha Kinoko kutoka Dar es Salaam wakilishambulia jukwaa wakati wa promosheni ya Airtel Jiunge na Supa 5 katika viwanja vya Jamhuri, Mkoani Dodoma jana. Uzinduzi rasmi ulifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Baadhi ya wakazi wa Dodoma wakihamia Airtel wakati wa promosheni ya Airtel Jiunge na Supa 5 mkoani humo jana.
Mkazi wa Dodoma, Queen Jackson akishindana kucheza taarab wakati wa promosheni ya Airtel Jiunge na Supa 5 mkoani humo jana.
Zawadi mbalimbali zikiwemo simu za mkononi zilitolewa ili kufanya promosheni hiyo iwe ya aina yake.
Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria promosheni ya Airtel Jiunge na Supa 5 Mkoani Dodoma jana.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII