DIAMOND ATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA
By Maganga Media - May 5, 2012
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Diamond akiingia kituo cha kulea watoto yatima kiitwacho Maunga Center kilichopo karibu na kituo cha polisi cha Hananasif, Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kwenda kutoa msaada wa vyakula. Ambapo kituo hicho kina watoto wapatao 40.
Diamond akiwa amembeba mmoja ya watoto wanaolelewa katika kituo hicho.
Umati wa watu pamoja na watoto walioungana kumshuhudia Diamond.
Diamond akikabidhi msaada huyo kwa watoto
Akitoa shukrani kwa kupokewa vyema kituoni hapo.
Dua ya Baraka ikitolewa mara baada ya kukabidhi misaada hiyo.
Watu wakifuatilia matukio.
Diamond akisikiliza mashairi aliyokuwa akiimbiwa na mmoja ya wazee wa kituo hicho.
Diamond akifanya mahojiano na waandishi wa vyombo vya habari.
Baadhi ya zawadi alizozipeleka katika kituo hicho.
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII