HABARI MPYA LEO  

Ujerumani kuchagua Rais mpya

By Maganga Media - Mar 18, 2012

Picha ya Jengo la Bunge la Ujerumani
Baraza maalum la wawakilishi katika Mji Mkuu wa Ujerumani, linatarajiwa hii leo, kumchagua rais mpya wa taifa hilo, lenye nguvu, barani Ulaya. Joachim Gauck, mwanaharakati wa haki za bianadamu, wa iliyokuwa Ujerumani Mashariki, na mwanateolojia, anaungwa mkono na wengi kutoka serikalini na vyama vingi vya upinzani. Mgombea mwingine wa nafasi hiyo, iliyoachwa wazi na Christian Wullf, ni Beate Klarsfeld, mwanaharakati wa kupinga unazi, aliyependekezwa na Chama cha mrengo wa kushoto.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII