April 03, 2025
 

HABARI MPYA LEO  

NAFASI ZA KAZI

SENIOR PLANNING OFFICER      Qualifications: Bachelor’s Degree in Economics, Statistics, Planning, Bu...

Published by Admin

ACADEMIC NEWS AND SELECTION

TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA (TUMA) FIRST LIST OF ADMITTED STUDENTS INTO VARIOUS PROGRAMMES AT (TUMA) 2012- 2013 INTAKE 1. Th...

Published by Admin

MAKALA MBALIMBALI

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Published by Admin

MICHEZO NA BURUDANI

Mshambulizi wa timu ta taifa ya soka ya Uganda Cranes, Uganda, Robert Ssentongo, ameteuliwa kuwa mchezaji bora wa mashindano y...

Published by Admin

Nafasi za Kazi Disemba, 2012

SENIOR PLANNING OFFICER      Qualifications: Bachelor’s Degree in Economics, Statistics, Planning, Business Administration atan accredited institution Apply: Secretary,Public Service Recruitment Secretariat, Box 63100, Dar es Salaam Details: Twww.ajira.go.tz Deadline: December 17, 2012 ASSISTANT  DIRECTOR  -  LEGAL SERVICES     Qualifications:Bachelor’s Degreein Law from an accredited institution who is an Advocate of [...] Read full story »

Tuzo ya CECAFA yazua mzozo.

Mshambulizi wa timu ta taifa ya soka ya Uganda Cranes, Uganda, Robert Ssentongo, ameteuliwa kuwa mchezaji bora wa mashindano ya CECAFA Tusker Senior Challenge Cup, yaliyomalizika mjini Kampala. Sentongo hata hivyo alifunga magoli manne pekee wakati wa mashindano hayo. Wachezaji waliofunga idadi magoli mengi kuliko Sentongo,Mrisho Ngassa na [...] Read full story »

KESI YA LULU MICHAEL YAPIGWA DANADANA HADI DISEMBA 17 MWAKA HUU

Kesi ya mauaji ya marehemu Steven Kanumba inayomkabili movie star wa Tanzania Elizabeth Michael (Lulu) imeendelea kutajwa katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam huku suala la umri wa mshitakiwa huyo likiendelea kuwekwa kiporo. Mbele ya hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu [...] Read full story »

Benghazi waandamana kudai amani

Maelfu ya Walibya wamefanya mhadhara katika mji wa Benghazi, mashariki mwa Libya, kuunga mkono demokrasi na kuwapinga wapiganaji wa Kiislamu. Waandamanaji waliisihi serikali ya Libya iyapige marufuku makundi ya wapiganaji ambao wamekataa kukabidhi silaha zao tangu vita dhidi ya Kanali Gaddafi mwaka jana. Waandamanaji wanataka serikali izidishe jeshi [...] Read full story »

Nyumba wanayokaa washiriki wa Epic BSS 2012

Inavyoonekana mwaka huu kuna mengi yaliyoboreshwa katika shindano la kusaka vipaji vya waimbaji ambalo limepewa Jina la Epic Bongo Star Search. Moja ya vitu vinavyoashiria ubora zaidi wa shindano hilo kwa mwaka huu kulinganisha na mashindano ya miaka iliyopita, ni mjengo ambao unawahifadhi washiriki wote katika kipindi chote [...] Read full story »

Afariki Dunia akijaribu kuongeza ukubwa wa nyeti zake

DUNIA haikaukiwi matukio ya kustaajabisha, kwa hakika huu ni ulimwengu maridhawa na hawakukosea walionena kwamba dunia hadaa ulimwengu shujaa.   Stori ya kusikitisha, inatokea nchini Marekani ambako kijana Justin Street, amepoteza maisha akiwa kwenye jaribio la kuongeza ukubwa wa nyeti yake. Habari kamili ipo hivi; Justin, 22, akiwa [...] Read full story »

Taswira ya Reli ya kati kutoka Dodoma hadi Kigoma

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE TASWIRA YA RELI YA KATI KUTOKA DODOMA HADI KIGOMA Ninamshukuru Mungu kwa uzima tele na kunipa tena fursa ya kuweza kuandika makala hii inayohusu taswira ya reli ya kati kutoka Dodoma hadi Kigoma mwisho wa reli kama wenyewe walivyozoea kusema. [...] Read full story »

Pinda Awavua Madaraka Wakurugenzi Sita

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewavua madaraka wakurugenzi sita wa Halmashauri za Wilaya kwa kushindwa kusimamia rasilimali watu, fedha na kutowajibika. Kutokana na hatua hiyo, Waziri Mkuu Pinda amewateua watu sita kukaimu nafasi hizo na wakurugenzi wapya 14 huku akiwahamisha wakurugenzi 27 kutoka katika vituo vyao vya kazi kwa [...] Read full story »

SITTA: ELIMU NA AFYA BURE INAWEZEKANA

WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amesema Serikali kutoa huduma ya Elimu na Afya bure inawezekana ikiwa tu mianya ya rushwa na ufisadi itadhibitiwa ipasavyo na wananchi wataweza kunufaika na rasilimali zilizopo nchini. Sitta alisema ni lazima turudi kwenye misingi ya uadilifu, kujali wanyonge, kukataa rushwa [...] Read full story »

Ubaya ubaya! Samsung yawalipa Apple kwa kupeleka Dola Bil 1 za sarafu ndani ya malori 30!!

Juzi malori 30 yaliyokuwa yamejaa sarafu (ama kunogesha zaidi chenchi) za senti tano tano, yaliwasili kwenye makao makuu ya Apple, jimboni California, Marekani. Awali, walinzi wanaolinda makao hayo makuu walidhani malori hayo yamepotea njia, lakini dakika chache baadaye, Tim Cook (CEO wa Apple) alipokea simu kutoka kwa CEO [...] Read full story »

Kwa wanaume: MPENZI linauzwa!

v\:* {behavior:url(#default#VML);} o\:* {behavior:url(#default#VML);} w\:* {behavior:url(#default#VML);} .shape {behavior:url(#default#VML);} Normal 0 false false false false EN-US X-NONE X-NONE Read full story »

Pages 22123456 »