HABARI MPYA LEO  

Wema Na Wolper hakuna mbabe!

By Unknown - Jul 8, 2012

Hapo vipi mwenzangu??? Hii sio Bongo movie, yataka msuli sana na sio make up kama tunapotoka saluni. Hata hivyo tumejitahidi shosti, mwee!!!!!!!!!!!!

Kwenye pambano lao jana la ndondi.hakuna mbabe
Na Superboxing Coach

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII