Kutoka viwanja vya Sabasaba!
By Unknown - Jul 7, 2012
Hapa ni getini ukiwa unaingia hakuna watu wengi kama ambavyo imezoeleka tatizo sijui ni nini
Wakazi Wa Jiji la Dar wakikata Tiketi tayari kwa kuingia uwanjani
Foleni hakuna kabisa tofauti na miaka ya nyuma
Ndani kwenye sasa hakuna msongamano wa watu kabisa yani hadi kwa kukanyaga unapaona
Karibu TTCL
Hapa ni Kijiji cha Airtel huduma zote zipo hapo
Wakazi wa Jiji la Dar wakitembea huku na huku kutazama
Upo hapo Mambo ya Vodacom hapo
Banda la Wizara ya Maliasili wakazi wengi wajitokeza kuangalia wanyama
Wizara ya Ulinzi hapo Kati unakutana na Makomandoo wa Jeshi la Wananchi wa tanzania
Mmoja wa Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wa Kikosi Cha Makomandoo akitoa darasa kwa wakazi waliofika kwenye banda lao
Na hapa watoto walikua wakichukua taswira huku wamempanda farasi.
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII