HABARI MPYA LEO  

Tamasha la WAJANJA leo Morogoro!

By Emmanuel Maganga - Jun 24, 2012

  • WATAKAOWASHA MOTO NI PAMOJA NA:
  • OMMY DIMPOZ
  • DIAMOND
  • FID Q
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh.Aziz Abood ambaye pia ni Mmiliki wa Abood Media,akisalimiana na Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu na Afisa Udhamini wa Vodacom Ibrahimu Kaude wa kwanza kushoto,mara walipotembelea makao makuu ya Abood Media kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika kesho kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh.Aziz Abood ambaye pia ni Mmiliki wa Abood Media,akimsikiliza jambo Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu,mara walipotembelea makao makuu ya Abood Media kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika kesho kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
Mtangazaji wa Abood Radio ya Mjini Morogoro Bi.Zainabu Swaleh akiwahoji Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakati wa kipindi cha “Nani Mkali”,kutoka kushoto Meneja Mahusiano wa kampuni hiyo Matina Nkurlu,Afisa Udhamini wa Vodacom Ibrahim Kaude,walipotembelea makao makuu ya Abood Media kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika kesho kuanzia saa nane mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,akifafanua jambo kwa mtangazaji wa kipindi cha “Nani Mkali”wakati wa mahojiano rasmi kwenye Radio ya Abood iliyopo mjini Morogoro mara walipotembelea kituo hicho kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika kesho jumapili kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
Afisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude akijibu moja ya maswali aliyokuwa akiulizwa na Mtangazaji mahiri wa kipindi cha “Nani Mkali”Bi.Zainabu Swaleh,kipindi hicho kinachorushwa na Radio ya Abood ya Mjini Morogoro, mara walipotembelea kituo hicho kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika jumapili hii kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII