HABARI MPYA LEO  

Wema afunika uzinduzi wa movie yake!

By Emmanuel Maganga - Jun 24, 2012

Wema Sepetu "Superstar"

Chalz Baba na Steve Nyerere walikuwepo kutoa sapoti kwa msanii mwenzao

Vijana kutoka mjengoni nao walihudhuria
Barnaba akiwa na Dida, Shilole na Mainda
Wanamuziki AY na MwanaFA walikuwa ni baadhi ya wasanii wachache wa Bongo Fleva waliobahatika kuwepo kwenye usiku wa Wema Sepetu

Miriam Odemba akifanyiwa interview na Shadee

Shaa akifanyiwa mahojiano na Shadee wa Clouds TV

Mwanamuziki Shaa nae alikuwepo

Ray Kigosi na Richie walikuja kumsapoti Wema
Wema Sepetu akiwa na Mange Kimambe na Miriamu Odemba wakimsubiri Omotola Jalade kutoka Nigeria uwanja ndege Mwalimu JK Nyerere.
Mgeni akawasili - Mwigizaji wa Nigeria Omotola Jalade akiwasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere alfajiri hii.

Wema Sepetu na Omotola wakiondoka Uwanja wa Ndege baada ya Omotola kuwasili kutoka Nigeria.

Omotola akiwa na Miriam OdembaFollow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII