HABARI MPYA LEO  

Mada ya leo kutoka Facebook!

By Unknown - Jun 24, 2012

Katika pitapita zangu nimekutana ma mada hii iliyorushwa na rafiki yangu wa facebook aitwaye Agness. Mada imenivutia sana kwani naona kama inahusu maisha ya kila siku ya facebook kati ya watumiaji wa mtandao huu maarufu unaounganisha watu kuliko mtandao wowote wa simu za mkononi.

Wengi wanaotumia mtandao huu wamekuwa wakinifaika kwa namna moja ama nyingine. Mtoa mada amefanya kurejea tukio lililotokea Saint Augustine. Nadhani ni muda muafaka kujadili juu ya hili. Karibu upate fursa ya kuchangia mtazamo wako na naamini lengo la mtoa mada litakuwa limetimia. Najua si wote mnaweza kupata fursa ya kuchangia kupitia wall ya Agness kwa kuwa sio rafiki zake, kupitia hapa watu wengi mtakuwa huru kuchangia na maoni yenu kuonekana bila vikwazo. Ubgana nae:

Agnes P Mang'enya
Have you hard about this chick from st.augastin mwana?do u knw what happend to her?hivi mnajua me nawashangaa sana?eti humjui mtu hujawah kuonana nae hata cku moja mmekutana fb mnaitana mnabebana hadi hotelini,wee msichana na ww unaitwqa hoteli na jitu hulijui unaenda mbaya zaid unaingia had room?unajiaminisha nini?why unakua mpuimbav?hebu acheni ulimbuken huimu fb its a meetng place unameet na frnz au ndugu,make sure watu unao entertain nao sana unawaju,hata ka huwajui bt make sure mnaishia humu humu basi,why umeet na mtu usoi mjua ili iweje?ilikua zamani bt ckuhz kumeharbka jamani,watu wamegeuka wanyama why utoe no yako kwa strengers?dnt trust any one
· · · 14 hours ago via mobile ·

    • Thugnificent Major Whyzzerd Hali ya maisha, wazungu wa reli walizaliwa wengi kuliko wenye akili....
      14 hours ago via mobile · · 1
    • 'Eric Richard Kizzle asaanteeeeeee imefika iyoo
      14 hours ago · · 1
    • Nass Ðuffle Bagboy Hivi ni yuleyule mwnafunz wa SAUT ambaye huweka pcha za ovyo humu
      14 hours ago via mobile ·
    • Ze Mtanzania Em nipen jina lake nimtafute..
      14 hours ago via mobile ·
    • Liza Paul ‎@¿@ }nashangaa....
      14 hours ago via mobile · · 1
    • Faizy Saidi Agari bora uwakumbushe wanadada wenzio wasiojua nn mana ya fb wanajinadi bilakujijua vizuri sana kama wakuckia watakuelewa@man'genya
      14 hours ago via mobile · · 1
    • Azizi Ramadhani Agy hebu nimbox jina lake huyo mwanakharam.
      14 hours ago via mobile ·
    • Imani Mabula Tatizo alipenda zile pesa.
      14 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya thugnifficient umeona eeh?@eric watu wamekua wapumbav sijui fb wanaichkuliaje??hii ni enternet kuna mishetani kuna mijitu inaakili mbovu,wew unajikuta ndio queen humu na mipicha yako unaombwa no na mijtu ya ajabu unatoa unaambiwa njoo sehem flan unaenda,haya ukichinjwa huko?hata kama iwe sehem ya wazi unajua utapewa nini kupumbazwa?tujiheshim bwana mnajkuta mnapelekwa kuzim hivi hivi bila kujijua et ukiulizwa unasema kisa fb,tena msiicngzie fb kabsaa,mcmtie dhambi zuckerbg wa watu buree
      14 hours ago via mobile · · 3
    • Princess Angela Mokiwa Heee huyo mdada amenshangaza anakutana n m2 room loooh haogopi?mmmh haatari
      14 hours ago via mobile · · 2
    • Ze Mtanzania Jaman me cjackia anaitwa nan huyo mdada unaweza kuta ndugu yako
      14 hours ago via mobile ·
    • Ze Mtanzania Aziz na wewe utaniinbox mm
      14 hours ago via mobile · · 1
    • Cecylia Kigatta mi nmecmuliwa live na mmoja wa rafk zake ambao walmcndkza...duuh inatia xana hrma...
      13 hours ago via mobile · · 1
    • Agnes P Mang'enya nass da gal iz dead,alichat na mtu fb yey akiwa chuo,huyo mtu akamuomba aje dar ikashndkana da gal akamtel huyo mkaka amfwate mwanza,baada ya kaka kufkia ktk hoteli huko mwanza akamuita,yule dem akaenda na rafk ake,baada ya kula yle kaka akamwabia rafk wa yle dem aende akampa 80thousand,wanadafada si ndo akili zkwawaruka,yle mpuuz akabak na yule kaka hoteli,mara mkaka kaenda kuoga anarud kuanzia tumbon kushuka chini ameoza anatoka funza akamtl yle dem acseme,,yan its horrable yle dem alivyorud asubuh akamuadithia mwnzke mara yaksasnza kumtoka kama ya yulr mkaka,ktk kumuwahsha hosptl dem akapotea kabsa,yani she iz dead n gone
      13 hours ago via mobile · · 1
    • Liza Paul dunia ynyw ya sasa, kil kiumbe ni mnyama ssaiv alf ww unajipeleka uko n vibwana vyako ukitolewa shm za siri au ukichinjwa fmly yko itamlaumu nani?? fb z jct 4 leasure nth elz bt wa2 wamefny love garden, sex place.. tutajiutia wnyw wkt mda ulishaenda
      @gnec mtel uyo ccy aache mambo zke za ovyo
      13 hours ago via mobile · · 1
    • Peter Msowoya Ze mtz utaniinbox mim
      13 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya guyz jina lake silijui jamani i feel mercy for her,,,be carefull jamani,,,watu wananiona naringa humu fb ila potelea pote,hunilishi hunivshi,judge me vyovyote at the end of the day i knw whayt am doing n btw i cnt plz evry one
      13 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya sh iz dead @lizy its too late for her bt nt too late for us
      13 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya ceccy its horrable,,,do u knw her name jamani??
      13 hours ago via mobile ·
    • Rama Mohamedi Hapo sasa wengne uzr wa pcha 2.
      13 hours ago · · 1
    • Liza Paul xure @gnec, am wondern bys wanaforce kuomba # za gals ila glz ha2jui wts bhnd our bak.
      co peke yko unaambiwa unaringa hat mi naambiwaga bt i jct whip dem out.. dey wl jdge hw dey wsh bt i wl n u wl remain as ur n i am
      13 hours ago via mobile · · 1
    • Agnes P Mang'enya very ryt lizzy let em talk,,az long az he doesnt hlp u n hupungui kitu,,dont gv a damn,hata mm nawashangaa cwaelew unaomba no ya mtu oso mjua?a stenger jamani?haahh haya do u knw who is she,what she is doing?o where is she frm?how cn u ask for a strengers no?kwani ukichat humu fb utapungua nini?me watansema sana hata sipungui,i dont talk to strengers,,i wl nvr change that,,,
      13 hours ago via mobile ·
    • Cecylia Kigatta rafk ake anaitwa nancy ila uyo bi dada marhem i dnt knw ha name...coz hata rafk ake 2lktana nae aksdntaly...
      13 hours ago via mobile ·
    • Liza Paul hahaha! dts wts up! yn bys r xo funny., kun boy aling'ang'ania # yng nkamtel akachukue tigo makao makuu, til 2dy hajaniomba tnaa!
      i don gv a damn as long i breath, am hpy, am stdyn,am eatn.. cjal maneno ya wa2, wtevr dey cn state bt ntabaki kua LIZA as asly
      13 hours ago via mobile · · 1
    • Dilo Locky duu lets Pray,Baba tunakuomba ukatulinde na Hatari na Mitego yote ya Adui Shetani tunaoba na kuamini katika jina la Yesu kristo aliiye hai. Amen.Ombeni sana Dunia imesha kwisha Jamani.
      13 hours ago via mobile · · 1
    • Agnes P Mang'enya aimeennn dillo bt sio kila kitu tumsngie shetani,tunauwezo ya kuzuia mengne basi tuu kujiendekeza@lizzy yap dats hw we do x xul mate,me lv u
      13 hours ago via mobile · · 1
    • Azizi Ramadhani Agy mi cjakuelewa ina maana huyo jamaa alikuwa ameoza kuanzia tumbon na anatoka funza??asa huyo ni m2 au?
      13 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya si mtu alikua shetan dats y yule dem alivyotoa siri na yy akachange akaanza kuoza kutoa funza
      13 hours ago via mobile ·
    • Liza Paul me too@gnec

      AMEN@©e©y
      13 hours ago via mobile · · 1
    • Emmy Lawrence Walianz kudet kuanzia kwny 4n na da guy akawa anamtek cre vzur 2,mkwnj kw sna ndo mana dem akaingia mkenge
      13 hours ago via mobile ·
    • Innocent Hubert Ombiiiiiiiiiiiiiiii. Atajwe humu au niibox na mm hilo jina nmwone
      13 hours ago ·
    • Agnes P Mang'enya emmy whateva ila hwy utoe no kwa mwanaume wa fb usomjua?me napnga hiyo,,ndo mana bfo hujamuadd mtu fb inakwambia makesure u knw the person
      13 hours ago via mobile ·
    • Mbaraq Mbarouk Heeeh huyo dada aliyeyuka ama vipi??
      13 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya emmy dating wth a guy u nevr met??akili matope?
      13 hours ago via mobile ·
    • Nass Ðuffle Bagboy ‎@Agnecy ts complcated xo jamaa alijhuxisha na wichcraft co....me nikajua ndo yule dem wa SAUT amby hua ana2wekea snaps kavaa bikin
      13 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya emmy anasoma saut so anaweza ktupa mkasa mzma@emmy da gal ulikua unamjua?anaitwa nan?
      13 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya mbarq da gal kapotea bt wanasema smtymz anaonekana then anapotea,,,
      13 hours ago via mobile ·
    • Liza Paul ‎@ na$$; my fecbuk bowy watch out> i stl nid u
      @gnec; ilkua matope co akili + tamaa
      13 hours ago via mobile ·
    • Azizi Ramadhani Kwahyo agy na huyo demu naye ameyeyuka?
      13 hours ago via mobile ·
    • Aloyce Peter sure 4ua intuitive knowedge
      its ok 2make sure 4what u did 4ua lifemen
      13 hours ago · · 1
    • Agnes P Mang'enya nas dada mwnyw me simjui hii story kanipa mummy leo,,,
      13 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya nas dada mwnyw me simjui hii story kanipa mummy leo,,,
      13 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya nas dada mwnyw me simjui hii story kanipa mummy leo,,,
      13 hours ago via mobile ·
    • Dilo Locky ‎@Agnes ni Inbox na mimi nimjue
      13 hours ago via mobile ·
    • Cecylia Kigatta maskn mpunga ulmzuzua coz da guy had alot ov mawe...ata htel aloyofkia n balaa mwnza nzma...duu mwnze inavoxemekana alkuwa hajawah ata kuingia xo alvyoona hvyo akaamua kj2pia mzma mzma...
      13 hours ago via mobile · · 1
    • Agnes P Mang'enya matope kabisaaaa,,,et unahudumiwa pumbavvvvvv ndo wanavyo umiag,,@aziz dem kapotea akiwa abebwa kwnye ambulance akielekea hosptal
      13 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya cecy naskia hotel hiyo over five star vilee,,yani tamaa hizi loooohh
      13 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya dilo me cmjui
      13 hours ago via mobile ·
    • Azizi Ramadhani Ila agy mademu wa chuo ndo walivyo wanapenda anasa,wanajiona wazungu,wanajifanya Marichuy na wanapenda wanaume wenye pesa cz c huwa mnatabia ya kuhadisiana mpenz wko yukoje.mwisho wke ndo hayoo.!
      13 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya halaf sasa hawaridhiki na hali yao ya maisha @aziz let me tell them somthing,chuo kunawatu tofauti,kuna wa familia bora mboga nane,mbali na bum bt stl unadakshwa na mshua za maana,usione mwnzako anapendeza anabandka kucha,tip mpya kila wiki,hair styles kila wiki,pamba kali,mwnzako znaruhusu usiforce vitu na wewe ukatamani yale maisha,si lazma ufanye kama wao wnye hela,hata bla kucha za kubandka ww ni mzur,hata ukinyoa nywele ww ni mzur,ucumie kutaka kuwa kama flani,if hela hazruhsu basii,umeenda kusoma dnt wry utatoka tuu,ni kwel wadada wa chuo tamaa zmewajaa,jaman me cbe mbna walinsema wengne,bt i didnt care,am workng nw nashka hela yngu najremba kwa pesa yangu,najvunia kua hela ya mwanaume haintsh,nw napendza kuliko walokua wanansema kwa vhela vyao vya kuhongwa,i am independent woman
      12 hours ago via mobile · · 3
    • Emmy Lawrence Kwel i cn nt do dat!ni ulmbuken!hotel yenyew ths dayz haina dil kvile,ni mwnz hotel.@agy
      12 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya haha usnambiee ntaitmbelea na mim lol,ctak kusmuliw
      12 hours ago via mobile ·
    • Azizi Ramadhani C bora angenifuata mimi Kigambon ningemnywesha madafu na juice ya mabibo na ngisi wa pale ferry c angekuwa salama jaman@Aggy!
      12 hours ago · · 1
    • Liza Paul mfn ww ndo ulkua nursn kwny amblnc alf kapotea sddnly ungfnyj@gne©
      12 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya ‎@emmy kumbe mwnza hotel,,,khaaa akuu mwnzangu wanaojfanyaga maduuh wao ndo wao,kumegwa na mibaba,yan sio type yangu hata kdg,,naskia dom ndo balaa,mh sijui wanatafta nn jaman,mtu sura umepewa unasomeshwa,unakula hebu ridhika kwannn mnapenda kuhongwa?me napenda huyo jini aendelee na uzi huo huo had washike adabu,yani ful kuwatoa mafunza mwaka huu,,pumbav zaooo@aziz hahahahaha umeona ee?asa we ndo haji mwnzako anataka kempiski
      12 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya hahahaha lizzyyy uwiiii yani ningekata roho na mm hapo hapo,,eehh maskini waloshuhudia nahc wanaota nw
      12 hours ago via mobile ·
    • Irene Pius Dah dah dah xuch a nutz xhawty! Dah 2ache uzungu maynz khaaaah!
      12 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya umeona eh?
      12 hours ago via mobile ·
    • Liza Paul hahahahahaha!
      hahahaha! mi ngeomba malaika wapokee roho yng tu cz mmmh! shghl nzto kwakwel
      walioshuhudia ilo 2kio nahic hawakulala wk nzm km co mwez
      12 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya hehehe yani unaweza jikuta unawehuka hiv hivi haha nashkuru mungu ckua huyo muuguz,,,ila me naomba huyo shetan hata asiache aendlee kufundsha watu adabu
      12 hours ago via mobile ·
    • Azizi Ramadhani Afu agy hawa dada zetu waliozaliwa miaka ya 90 and above wanamatatizo sana ujuaji mwingi weng ni vilaza muda mwing wanafikiria kwenda kwenye anasa ndo maana matokeo ya kidato iv ni mabaya mno kwa ukhanic wao mm wananiboa kwel.
      12 hours ago via mobile ·
    • Liza Paul na kwel.. kwa maana wngn wakifka chuo wanahic km wako pepo kumbe loooh! shida tupu, utakuta wazaz wko wanahenya kutafuta ada yko alf ww unfny mambo ya kikuda km hayo.
      uyo chalii aendleze dozi mpk gaalz wa uko waache ujnga n tamaa za ovyo ovyo, asambaze funza km dawa kwa kila mcharuko lady..
      12 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya wameathiriwa na utanda open sio makosa yao
      12 hours ago via mobile ·
    • Jacqueline Muro gush@aggy u cnt beliv ma boy told me bout dat story ts almst 2dys b4 2dy bt ws jst thnkng he ws jst makin up a story 2 mak me be mor careful bt duuuu fil pity 4 dat girl JAMAN Y GIRLS WE ACT LIK DIS???????
      12 hours ago via mobile · · 1
    • Agnes P Mang'enya hahahahaha lizzy nimeipenda hiyo yani mwendo wa mafunza mwanzo mwishoo meennnnn
      12 hours ago via mobile ·
    • Thugnificent Major Whyzzerd Msichana huyo naye ana tabia moja na mashua au bendera, kuenda kule upepo uelekeako
      12 hours ago via mobile ·
    • Liza Paul ‎@jack cz o utandawazi
      dts true@gnec
      12 hours ago via mobile · · 1
    • Agnes P Mang'enya jaqy ni true story swthrtt very sad
      12 hours ago via mobile ·
    • Liza Paul meona eehee...! km haitoshi hat MP wacpa kbs au kizaz kidisappear live live.. ulimbukeni unaleta shida km hzi@gnec
      12 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya kweli nadhani ni ulimbukeni na c vngne mambo mazuri yapo hayataki haraka,,,me wlikua wananionaga mshamba kisa nakataa mibaba haya mwsho wa cku tutaona nani mjanja nan mshamba,,
      12 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya ushamba tuu umewajaa,,tamaa mbayaaaa
      12 hours ago via mobile ·
    • Liza Paul haswaaaa! yn glbztn ni tatizo saiv. unakuta m2 wa chuo>4m3, hv inakuja? km co kdngnyanloool! acha mi nmalze zng 4 thn niendle mpk chuo inshalaah ntapat kaz niipendayo n ktimiza ndoto zng
      12 hours ago via mobile ·
    • Jacqueline Muro safi sana timiza malengo mumy@liz.jaman stil nashangaa sisi tusiolidhika na wapenz wetu wenye hali za kawaida mpaka tudanganyike na mijihelaa aah bola ulivowapasulia@agnes
      10 hours ago via mobile ·
    • Agnes P Mang'enya liz kaza my dear@jaqy wamezd tamaa yan nw kmyaa yamewashuka,,big up to shetani funza,,,haha
      10 hours ago via mobile ·
    • Leopard Mujuni Matovu umekuwa repoter eheeee? jipangee afu kaushaaa ww.....
      9 hours ago · · 1
    • Liza Paul mcjal khs ilo, nko makin na masomo yng & naamin ntfny vyema inshallah@gnec & jack
      4 hours ago via mobile · · 1
    • Gotora Chichake acha roho mbaya Aggy, fb inaweza kukuunganisha na m2 anaeweza kukusaidia, na sio kila wakati fb huunganisha wa2 kwa mambo mabaya tu sio kweli, mambo mabaya yapo tuu hata kabla ya fb acha watu wachat then wa-meet bw. pia kumbuka unaweza ingia room then ukachill tu sio lazima u-do,
      2 hours ago ·
    • Agnes P Mang'enya nyoooo mnbona hao hawakuchil wameishia kutoana mafunza?gorota ndo mana nimesema now adays kumeharibika huwez jua yup ni mzuri na yupi ni mbaya,mungu ametuficha mioyo huwez jua mtu ana nia gani na ww,cjasema watu wasichat mbna me nachat bt kuna limit,tunaishia humu humu cz huwez mjua mtu kwa kuchat,shetan amekaa anatafta wa kuwadhuru so we better b carefull,cwez meet na mtu nsomjua,n c hvyo tuu,hata nkicmama mtu frm no where mmamammbaba anakuja kunisemesha hua cjbu,yan napoteza mbaya,my dad alishanipaga warning kuhusu hiyo ktu,unasemeshana na mtu mwsho wa sku unapumbazwa unaibiwa,bora nionekane naringa ili yaishe
    • Gotora Chichake Yeah ur grty, coz kuna wengine wanyonyadamu mwaya, kama utakumbuka siku za hivi karibuni palitokeaga mauaji ya ajabuajabu kwenye baadhi ya guest houses yakihusisha wanawake waliokuwa wanauwawa na wanaume wasio julikana, so people w've to be care
      about an hour ago · · 1
    • Agnes P Mang'enya yes umeona eeeh???take care n muombe sana mungu akuepushe na majanga
    • Liza Paul globalization! globalization! chinese love-no guarentee at ol.. wa2 wanadate widout hvn info. of de psn ur dating

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII