HABARI MPYA LEO  

Redd's Miss Iringa 2012 Apatikana

By Unknown - Jun 30, 2012

Mshindi wa taji la Miss Redd's 2012 mkoa wa Iringa Naomi James kati kati akiwa na mshindi wa pili Sarah Utiku na Catherine Mfupi ambaye ni mshindi wa tatu mara baada ya kutangazwa usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa Highlands mjini Iringa
Hawa ndio waliopenya nafasi ya tano bora kati ya washiriki 12 waliopanda jukwani wa kwanza kushoto ni Amisa Zuber, SArah Utiku, Naomi James ,Winfreda Felix na Catherine Mfupi

Huyu ndie Naomi James ambaye ametawazwa usiku wa kuamkia leo kuwa Miss Redd's mkoa wa Iringa na kuzawadiwa kitita cha shilingi 500,000

Mdau Saimon Belege akiwa na mshindi wa taji la Miss Iringa mwaka jana na mshindi wa mwaka huu katika shindano ya Redd's Miss Iringa Naomi James

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII