HABARI MPYA LEO  

MR NICE AIBUKA NA "NIONJE"

By Maganga Media - Apr 30, 2012

Mr-Nice-and-Barnaba


Tukisema anarudi maana yake ni kwamba alipotea.La!Alikuwepo akapumzika kupisha upepo uliokuwa umeweka kiza mbele yake. Sasa anaendelea tena.Namzungumzia Mr.Nice ambaye alitamba sana mwanzoni mwa miaka ya 2000 mpaka katikati hususani na style yake ya TAKEU ambayo mwenyewe mpaka leo anasema ni uvumbuzi wake mwenyewe.


Hapa anakuja kutoka FishCrab Records pale kwa Lamar akiwa amemshirikisha Barnaba ambaye kwa hakika wengi tunakubali kwamba he is the best vocalist.Sijui kama naweza kusema hili hapa lakini nadhani hapa ni almost Old school meeting New School. Wimbo unaitwa Nionje. Usikilize






Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII