HABARI MPYA LEO  

Diamondi: Nashukuru kwa dua zenu!

By Unknown - Aug 2, 2012

Kiukweli hali yangu ilikua ni mbaya sana,nilizidiwa na homa kali ya ghafla iliyosababishwa na kifua kilichonisumbua kwa takribani wiki mbili mfululizo....hadi kupelekwa Heameda Medical Clinic kwa Doctor Hery M. Mwandolela, Specialist wa Heart and Cough kwa uchunguzi na vipimo vikubwa maana hali haikuwa ya kawaida....

Namshkuru Mwenyezi Mungu baada ya vipimo vyote iligundulika ni kifua cha kawaida tu ila kilisababishwa na tour na ziara nyingi nilizozifanya mikoa na nchi mbalimbali kwa mfululizo bila mapumziko ya kutosha..
 

kwa sasa hali yangu si mbaya sana...nawashukuru wote mliokuwa mkiniombea kupitia Blogs, Twitter, Bbm, Facebook...etc, na Media zote niweze recover.
 
CHANZO: http://www.thisisdiamond.com/

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII