GRAND MALT YAPANDA MITI 30 KATIKA KITIVO CHA ELIMU CHA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)
By Maganga Media - May 8, 2012
Meneja Wa Kinywaji Kisicho Na Kilevi Cha Grand Malt Bi Consolata Adam akipanda Moja ya Miti hiyo katika Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM) jana asubuhi.Zoezi la Upandaji Miti La Grand Malt lilikwenda Sambamba na Zoezi la Uzinduzi wa Excel With Grand Malt Ambapo Itashirikisha Vyuo Viwili UDOM na CBE vyote vikitokea Mkoa Wa Dodoma
Mmoja wa Wanafunzi Wa Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Anne Sango akipanda moja ya Miti iliyotolewa na Grand Malt katika Kitivo hiko Cha elimu cha Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM) jana asubuhi
Mmoja wa wanafunzi wa Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM) akipanda mti katika zoezi la upandaji miti lililofanya na Grand Malt Chuoni Hapo
Mmoja wa Wafanyakazi wa Grand Malt Mkoani Dodoma akiweka miche ya Miti tayari kwa Kupanda katika Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania kanda ya Kati Bwana Nick Tesha alipokua akitoa shukrani kwa wanafunzi wakitivo cha elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) kwa kujitokeza katika Zoezi la Kupanda kwa malengo ya kutunza mazingira.Zoezi hilo lilifanyika jana asubuhi katika kitivo cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma.
Meneja wa Kinywaji Cha Grand Malt Bi Consolata Adam (Katikati) akinywa kinywaji kisicho na Kilevi Cha Grand Malt Mara baada ya Zoezi la Upandaji Miti Kumalizika katika Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)
Meneja wa Kinywaji Cha Grand Malt Bi Consolata Adam Akiwa katika Picha ya Pamoja na Baadhi ya Wanafunzi na wafanyakazi wa kampuni ya Bia Tanzania Mkoani Dodoma mara baada ya zoezi la upandaji miti kumalizika katika Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) jana asubuhi
Meneja wa Kinywaji Cha Grand Malt Bi Consolata Adam (katikati) akisikiliza maelekezo kutoka kwa Waziri wa Habari wa Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma Mh Rajabu P juu ya Zoezi la Upandaji miti iliyopandwa na Klabu ya mazingira ya Kitivo hiko cha Elimu asubuhi yajana
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII