HABARI MPYA LEO  

BEYONCE afunika onesho lake la kwanza tangu ajifungue!

By Maganga Media - May 28, 2012

 

NYOTA wa muziki nchini Marekani Beyonce juzi amefanya onyesho lake la kmwanza tangu ajifungue mtoto wake wa kwanza, Blue Ivy mwezi januari 2012.

Katika onyesho hilo, lililofanyika ukumbi wa  Revel resort katika jiji la Atlantic City, alionekana mwenye kupendeza zaidi huku akinakshiwa na kivazi chake matata kilichomkaa vema kwenye mwili wake wenye mvuto wa kike.

Kama hiyo haitoshi, nyota huyo mke wa Rapa Jay Z, aliweza kumudu ipasacyo jukwaa huku akitumbuiza kwa nyimbo zake kadhaa zikiwemo   "Run the World (Girls)," "Single Ladies," "Countdown",  "Halo, na nyinginezo.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII