TAMASHA LA PASAKA KATIKA PICHA - DSM
By Maganga Media - Apr 9, 2012
Ni tamasha la aina yake ambalo kwa baadhi wanaliita ni tamasha la kimataifa kwa sababu limekusanya watu mbali mbali kutoka nchi mbali mbali.
Kikundi cha John Lisu Jukwaani.
Mwimbaji Upendo Kirahiro akifanya vitu vyake jukwaani |
Mwanamuziki Rebecca Malope kutoka nchini Afrika Kusini akielekeza jambo katika tamasha hilo kabla ya kupanda jukwaani leo hii kwenye uwanja wa Taifa. |
Waimbaji wa muziki wa injili wakiingia uwanjani kutoka kulia ni Christina Shusho, Upendo Kirahiro na Upendo Nkone.
Wanamuziki Rose Muhando akiingia uwanjani huku akiwa ameongozana na waimbaji kutoka nchini Kenya Tutuma kushoto na Emi Kosgei..
Elistone Angai naye yumo katika tamasha hilo leo hii.
Kundi lingine likitumbuiza katika tamasha hilo.
Mashabiki lukuki wakiwa uwanjani
Mashabiki wakiwa uwanjani
Mashabiki wakiimba na kucheza kwa nguvu katika uwanja wa Taifa
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII