KIJIJI CHA WIKI: IFAHAMU NG'ONG'ONA
By Maganga Media - Apr 19, 2012
Safari yetu ya leo ilikuwa ni kutembelea kijiji cha Nghong'ona kijiji maarufu sana hapa mjini Dodoma. Kipo Manispaa ya Dodoma mjini nje tu kidogo ya mji, chini ya Chuo kikuu cha Dodoma kitivo cha Elimu. Ukiwa kijijini hapo utajionea mambo mengi tu mazuri na ya kuvutia. Wakazi wake wanafurahia sana uwepo wa UDOM na kwa hakika hicho ndio pekee kinachowasaidia katika maisha yao ya kila siku.
![]() |
KILIMO CHA ALIZETI |
![]() |
Hili ni miongoni mwa mashamba ya zabibu, matunda maarufu mkoani Dodoma |
![]() |
Kilimo cha Mahindi pia kinakubali |
![]() |
Vijana wakila karanga walizopewa |
![]() |
Kijana akila Karanga |
Mazao mengine yanayopatikana kwa wingi kijijini hapo ni pamoja na Karanga, mtama, uwele, maboga, nk.
![]() |
Hapo ndio maji yanapotoka baada ya kufukua |
![]() |
Dogo ametoka kuchota maji |
![]() |
Dogo ametoka kuchunga ng'ombe |
![]() |
Misosi pia inapatikana kwa wingi na bei nafuu |
![]() | ||||||||
KITUO CHA BIASHARA NDOGO NDOGO KIJIJINI HAPO |
![]() |
Kama kawaida ya vijiji vyetu, huduma ya vyoo ni lazima upite msitu huo uliopo nyuma ya nyumba |
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII