HABARI MPYA LEO  

Nyumba wanayokaa washiriki wa Epic BSS 2012

By Emmanuel Maganga - Sep 22, 2012
Inavyoonekana mwaka huu kuna mengi yaliyoboreshwa katika shindano la kusaka vipaji vya waimbaji ambalo limepewa Jina la Epic Bongo Star Search.

Moja ya vitu vinavyoashiria ubora zaidi wa shindano hilo kwa mwaka huu kulinganisha na mashindano ya miaka iliyopita, ni mjengo ambao unawahifadhi washiriki wote katika kipindi chote cha shindano hilo, mpaka siku atakapopatikana mshindi wa zawaidi kubwa ambayo ni Million 50 tsh.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII