Full Chabo!
By Mhariri - Aug 4, 2012

![]() |
Picha zote kwa hisani ya Flora Mbasha |
Tabia ya kukopi na kupesti, kudesa, chabo, kubebwa, na majina mengine mazuri unayoweza kuiita ili kwanza kuipaka mafuta isifahamike kwa mtu asiyehusika au kuifanya ionekane kuwa ni ya kawaida imezoeleka sana miongoni mwa wanafunzi wazembe na wasiojituma. Unaweza kutetea mazingira yaliyokupelekea kufanya hivyo lakini ondoka na uelewa mpya kuwa;
"Cheating in examinations is like stopping a watch in order to save time!!"
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII