HABARI MPYA LEO  

Angalia TANESCO inavyoibiwa umeme Dsm!

By Mhariri - Aug 18, 2012


Meneja wa Wateja Wakubwa wa Shirika la Umeme (TANESCO), Francis Maze akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam jana baadhi ya mita 58 za umeme zilizofungwa katika jengo la Sophia House eneo la Chang’ombe, zinazotumia nishati hiyo kwa njia ya wizi na kulikosesha shirika mapato yazaidi ya Sh milioni 8. (Picha na Mohamed Mambo). Chanzo: Habari leo

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII