HABARI MPYA LEO  

Usikose hii! Wema Vs Wolper uwanja wa Taifa!

By Unknown - Jul 6, 2012

HII ni burudani nyingine ya aina yake ambayo itapatikana katika tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Julai 7, Uwanja wa Taifa jijini Dar. Nazungumzia mpambano wa masumbwi kati ya mashostisto wawili maarufu Bongo, Jacqueline Wolper na Wema Sepetu, ebwana eee! Haijawahi kutokea.

Sio filamu tena kama mlivyowazoea, safari hii ni masumbwi. Nani zaidi kati ya Mastaa hawa????? USINGOJE KUSIMULIWA


Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII