HABARI MPYA LEO  

Tamasha la Wachaga ndani ya Leaders Club Jana.

By Emma Maganga - Jul 30, 2012

Mkazi wa jiji la Dar es Salaam akimiminiwa Mbege katika "kata" maalum la kunywea pombe hiyo ya asili ya Wachaga kutoka mkoani Kilimanjaro wakati wa tamasha maalum la CHAGGA DAY lililofanyika katika viwanja vya Lidaz jijini Dar es Salaam.
Wadau wakipata mbege wakati wa tamasha la CHAGGA DAY lilofanyika katika viwanjavya Leaders jijini Dar es salaam jana,
Bendi ya msondo ngoma ikitoa burudani wakati wa tamasha la Chagga Day jana
vimwana wa bendi ya twanga wakionyesha umahiri wao wakiongozwa Luiza Mbutu wakati wa chagga day.
Nyama choma ilikuwa yakutosha
masta wa tamasha la chagga day (katikati) Mkurugenzi wa Kampuni ya MyWayEntertainment, Paul Maganga pamoja na wadau wengine wakiwa kwenye picha ya pamoja.
wadau wakifurahia utamu wa mbege.
wadau mbalimbali wakipata mbege pamoja na vyakula vya kiasili kama mseto Kiburu,ndafu, shiro, kitawamacharari, ngararimo, ng’ande, kisusio, mtori, Kisusio navingine vingi

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII