HABARI MPYA LEO  

Sherehe za kumbukumbu ya Mashujaa Dar es Salaam

By Unknown - Jul 26, 2012

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM


Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika viwanja vya bustani ya Mnazi Mmoja tayari kutoa  heshima kwa mashujaa


Baadhi ya skari wa zamani wa KAR wanaounda Tanzania Legion
Gadi ya Askari Magereza
Gadi ya JWTZ
Askari wa JWTZ wakiwakumbuka mashujaa kwa heshima ya dakika tatu huku mizinga ikipigwa

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mkuki mnarani kama  heshima kwa mashujaa
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima kwa mashujaa baada ya kuweka mkuki na ngao
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akiweka sime mnarani
Ni wakati wa wimbo wa Taifa mara tu baada ya kuwasili kwa Rai Kikwete
Baadhi ya waalikwa ikiwa ni pamoja na mabalozi wa nchi za nje
Kiongozi wa Mabalozi na Balozi wa DRC Nchini Mhe Khalfan  Mpango akiweka shada la maua
Meya wa Jiji la Dar es salaam Mstahiki Dkt Didas Masaburi akiweka upinde na mshale
Mwenyekiti wa Wazee wa Dar es salaam Mzee Rashidi Bakari Ngonja akiweka shoka

Gadi ya FFU


Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhad Mussa Salum akiomba dua 
Mchungaji  John Kamoyo wa CCT akitoa neno
Monsinyori Deogratias Mbiku wa Kanisa Katoliki akisoma sala
Baadhi y mashujaa waliowahi kupigana vita
Wimbo wa Taifa baada ya shughuli kumalizika
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Viongozi wa kitaifa
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya mashujaa
Salamu kwa Mashujaa
Mashujaa
Wanahabari wakirekodi shughuli nzima
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na baadhi ya  mashujaa

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na viongozi wa majeshi baada ya kutoa  heshima kwa mashujaa
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII