HABARI MPYA LEO  

JK akagua mradi wa matofali

By Emmanuel Maganga - Jun 25, 2012
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua matofali yaliyotengenezwa kwa mashine ya Hydrafoam kwaajili ya ujenzi wa madarasa katika shule ya sekondari ya Mboga,wilayani Bagamoyo.

Mashine hiyo yenye thamani ya Shilingi Milioni Sabini 70m/- imetolewa na Rais Kikwete kama msaada kwa vijana waliounda ushirika ili kuboresha maisha yao kwa kufanya miradi mbalimbali ya ujenzi na uzalishaji.
(picha na Freddy Maro)
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII