HABARI MPYA LEO  

Bi Kidude ashiriki filamu ya Sajuki

By Emmanuel Maganga - Jun 15, 2012

BI KIDUDE ASHIRIKI FILAMU YA SAJUKI


Katika muendelezo wa kumchangia Sajuki ambaye alikuwa nchini India kwa matatibabu lakini sasa amerudi akiwa anaendelea vizuri,Bi Kidude atashiriki katika Filamu itakayoandaliwa kusaidia kuhamasisha michango endelevu ya msanii huyo aliyeugua kwa kipindi kirefu.

Filamu hiyo imekamilika jana kwa mujibu wa muongozaji wa Filamu hiyo Zamaradi Mketema.

Filamu hiyo imehusuhsa waheshimiwa Kama Mh.Halima Mdee, Mh.Ester Bulayo,Mh. Shyrose Bhanji na mwanamuziki mkongongwe Bi Kidude na mastaa wabongo kibao

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII