Fergie amwita Mancini mkorofi
By Maganga Media - May 2, 2012
KOCHA wa Manchester United, Sir Alex Ferguson amemshutumu mwenzake wa Manchester City, Roberto Mancini kwa kumwita "msumbufu" kwa waamuzu baada ya wawili hao kushikana masharti wakati timu zao zilipocheza kwenye uwanja wa Etihad. City ilishinda 1-0, lililofungwa na nahodha wake Vincent Kompany kwa kichwa mwishoni mwa kipindi cha kwanza hivyo kurudisha kileleni kwa tofauti ya mabao.
Makocha hao wawili waliteganishwa na mwamuzi wa akiba Mike Jones baada kila moja kupiga tukio la Nigel De Jong kumchezea vibaya Danny Welbeck kuliposabisha kutumiana maneno makali kati yao.
Ferguson alisema: "Alikuwa akiwa sumbua mwamuzi muda wote wa mchezo, kuanzia kwa muamuzi msaidizi na msika kibendera, na wakati nilipokwenda palee... Amekuwa akiwalaumu waamuzi wiki nzima, hakutakiwa kulalamika usiku huu."
Baada ya kushinda Mancini aliamua kutupilia mbali suala hilo, aliongeza: "Sikumbuki kilichotokea pale. Nilimwambia mwamuzi msaidizi haikuwa faulo."Kwa wakati ule kila moja alikuwa na presha kubwa, lakini kwangu mimi nimeshasamee."
Ndoto ya United, kutwaa kombe la 20 mwaka huu limeingia dosari tangu walipofungwa na Wigan Athletic na walipolazimishwa sare 4-4 na Everton wiki iliyopita.
Mancini alivutiwa na uchezaji wa timu yake na kufanikiwa kuichapa United japokuwa amekiri kazi bado ni ndefu kufikia lengo."Ni ushindi mzuri, lakini bado tuna mechi mbili ngumu zimebaki na United wenye wanamechi mbili rahisi," alisema Mancini, ambaye timu yake itacheza na Newcastle United inayoshika nafasi ya tano kabla ya kucheza mechi ya mwisho dhidi ya timu inayotaka kushuka daraja ya Queens Park Rangers.
"United bado wana nafasi ya kuwa mabingwa kutokana na wapinzani wake ni Swansea na Sunderland. Nimefurahi kurudi kileleni, lakini bado hatujabilisha chochote."United walikuja kwa mbinu ya kujilinda zaidi na kumtumia mshambuliaji moja mbele. Walikuwa wakitaka sare. Walicheza tofauti na kawaida yao. Tulistahili kushinda."
Ferguson ambaye alimwazisha Wayne Rooney kama mshambuliaji pekee alisema timu yake ilicheza chini ya kiwango na ubingwa sasa upo mkononi kwa City."Ilikuwa mechi ngumu kama tulivyotegemea na tulishindwa kutegeneza nafasi za kutosha za kufunga," alisema. "David de Gea ndiye mchezaji pekee aliyefanya kazi kubwa, lakini nimeuzunika kwa kushindwa kumjaribu kabisa kipa wao.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII