HABARI MPYA LEO  

RAIS KIKWETE AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA BRAZIL

By Maganga Media - Apr 21, 2012

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na wajumbe wa chama cha wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa wa nchi ya Brazil alipokutana nao katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi jijini Sao Paulo April 19, 2012.
(PICHA ZOTE NA IKULU)
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na viongozi wa chama cha wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa wa nchi ya Brazil alipokutana nao katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi jijini Sao Paulo, katika siku yake ya mwisho ya ziara yake ya Brazil April 19, 2012. Wa pili kulia ni Makamu wa Rais wa chama hicho Bw Joao Guilherme Sabino Ometto na kushoto ni Mkurugenzi wa chama hicho Thomaz Zanotto na kulia ni Waziri wa kazi na Uwezeshaji Wanachi Kiuchumi na Ushirika wa Zanzibar Mh Haroun Ali Suleiman.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII