HABARI MPYA LEO  

Nafasi ya mafunzo na Ajira - RafikiElimu Foundation (Jobs)

By Mhariri - Aug 12, 2012


Nafasi za Mafunzo na Kazi
RafikiElimu Foundation

Date Listed: Aug 3, 2012
Email Address: Click to Email
Phone: +255 763 976 548
Area: Dar Es Salaam
Application Deadline: Aug 28, 2012
Start Date: Sep 01, 2012


Position Description:
RafikiElimu   Foundation     wanatangaza  nafasi za  mafunzo  ya  ujasiriamaliMafunzo  yatakayo  tolewa  ni  pamoja  na  :
1.   Kutengeneza  sabuni
2.  Kutengeneza    chaki
3.Kutengeneza  mishumaa.
4.Kutengeneza   viatu  vya  ngozi.
5. Kutengeneza  mkaa  kwa  makaratasi.
6. Kutengeneza  batiki.
7. Uokaji  mikate
8. Usindikaji  wa   vyakula  na  vinywaji  pamoja  na
9.  Uongozi  wa   biashara.

WALENGWA   WAKUU  WA  MAFUNZOSIFA  ZA   WASHIRIKI
Ili  uweze  kupata   nafasi  ya  kushiriki  katika  mafunzo  haya  unatakiwa  uwe  na  sifa  zifuatazo:
1.  Uwe  raia  wa  Tanzania.
2. Uwe  na  umri  wa  kuanzia  miaka  18  na
3. Uwe  unajua  kusoma  na  kuandika .

ADA  YA  KUSHIRIKI  KATIKA  MAFUNZO

Ada  ya  kushiriki  katika  mafunzo  haya  ni  shilingi   Elfu  Ishirini  na  Tano  TuTshs.  25,000/=)

MALIPO  YA  ADA
Malipo  ya  ada  ya  mafunzo  yafanyike  kupitia   CRDB  BANK,  Account  number 0152395997900 ,   Jina  la  Akaunti  ni    RAFIKI  ELIMU  FOUNDATION.


             Malipo  yafanyike  kabla  ya  tarehe  10  Agosti  2012

            TAREHE  YA      KUANZA  KWA  MAFUNZO
 Mafunzo  yataanza  rasmi  siku  ya  tarehe  01  Septemba  na  yatafanyika  katika  vituo  vya   Dar  Es  salaaArusha, Moshi, Mwanza, Tanga, Morogoro,Mbeya   na  Dodoma.


                    NAFASI  12  ZA  KAZI
Washiriki  kumi na  wawili   ( 12  ) Kutoka  katika  kila  kituo, watakao  fanya  vizuri  katika  mafunzo  haya  watapata  nafasi  ya  kufanya  kazi  na  asasi  katika    mradi  wa    Elimu  Ya   Ujasiriamali  Vijijini  na  Mijini "   ETURA  Project "  (  Enterpreneurship  Training  In Urban  and  Rural  Areas   Project  )utakao  anza   mwezi  Novemba  2012  hadi  Novemba  2014.



Kujiandikisha   katika  mafunzo  hayatuma  barua  yako  ya  maombi  , ikiambatana  na  nakala  ya  cheti  chako  cha  kuzaliwa  ama   nakala  ya  kadi ya  mpiga  kura, pamoja  na  nakala  ya  risiti  ya  malipo  ya  ada  ya  mafunzo    kwenda  kwa  :
Mkurugenzi  Mtendaji,
RafikiElimu   Foundation,
S.L.P  35967,
Dar  Es  salaam.


Mwisho  wa    kupokea    maombi  ni  tarehe   28  Agosti  2012.


Application Instructions:
Kwa  maelezo  zaidi  tembelea   blogu  yetu: www.rafikielimu.blogspot.com

Website: Go to Website

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII