Mahakama yabatilisha mgomo wa walimu
By Unknown - Aug 2, 2012
Mahakama leo imetengua mgomo wa walimu uliokuwa ukiendelea nchi kwa madai kwamba mgomo siyo halali.Mahakama pia imeiamuru CWT kuwalipa fidia wanafunzi walioathirika na mgomo wa walimu
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII